Dira na Dhima
Dira na Dhima
DIRA
Kufikisha taaluma ya uthamini katika kiwango cha ubora unaokubalika kimataifa.
DHIMA
Kusajili wathamini wenye elimu, uwezo, uadilifu na uzoefu unaokubalika na kuhakikisha kuwa kazi za uthamini zinafanyika kwa ubora wa hali ya juu.