Usajili Kamili
Usajili Kamili
Usajili Kamili
Ili Mthamini aweze kupata usajili kamili lazima awe na vigezo vituatavyo:
- Mwenye shahada ya Chuo Kikuu katika usimamizi wa milki na kubobea katika uthamini au kiwango kingine cha elimu kinacholingana na hicho kitakachokubalika na Bodi;
- Mwenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu;
- Aliyepitia mafunzo na kufaulu mitihani ya Bodi; na
- Raia wa Tanzania