Usajili wa Awali
Usajili wa Awali
Ili mthamini aweze kusajiliwa katika kundi hili ni lazima awe na sifa zifuatazo;
- Mwenye shahada ya Chuo Kikuu katika usimamizi wa milki na kubobea katika uthamini au kiwango kingine cha elimu kinacholingana na hicho kitakachokubalika na Bodi; na
- Ambaye hajawa na uzoefu wa kutosha kupata usajili kamili