Historia

<p style="text-align:justify">Bodi ya Usajili wa Wathamini ni taasisi ya umma iliyoanzishwa kwa sheria ya Uthamini na Usajili wa Wathamini Sura 138 kifungu cha 12 kwa ajili ya kusajili wathamini na kudhibiti kazi za uthamini nchini. Majukumu makuu ya Bodi ni kusajili wathamini katika ngazi mbalimbali baada ya kutathmini uwezo wao wa kielimu na uzoefu wa kazi, kuhamasisha maendeleo ya elimu ya uthamini na kusimamia/kutoa ushauri na kudhibiti utendaji kazi za uthamini na za wathamini nchini kwa lengo la kulinda maslahi ya wahusika wa uthaminiTaifa, na umma kwa ujumla.</p>
Settings