emblem

The United Republic of Tanzania

VALUERS REGISTRATION BOARD

MAFUNZO YA USAJILI WA KUDUMU WA WATHAMINI


Bodi ya Usajili wa Wathamini (VRB) inapenda kuwatangazia wathamini na watu wote kwa ujumla kuwa itaendesha mafunzo ya usajili wa kudumu kwa wathamini waliotuma maombi na wanaokidhi vigezo (Orodha imeambatanishwa). Mafunzo hayo amabayo yatahusisha masomo na mitihani yatafanyika katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (Dar es Salaam Institute of Technology - DIT ) Dar es salaam, kwa muda wa wiki tatu kuanzia tarehe 01 - 21 Novemba, 2022.

Kwa Mawasiliano: E- Mail registrar@vrb.go.tz Simu 0733 54265