emblem

The United Republic of Tanzania

VALUERS REGISTRATION BOARD

FIFTH ANNUAL GENERAL MEETING (AGM)


Bodi ya Usajili wa Wathamini imefanya mkutano mkuu wa tano wa mwaka wa Wathamini nchini wenye kauli mbiu " Mwelekeo wa Uthamini Tanzania kujumuisha Teknolojia, Uvumbuzi na Mazingira Endelevu" aidha mkutano huo uliambatana na zoezi la kuwatunuku vyeti Wathamini 34 katika ngazi ya Uthamini wa Kudumu (Fully registered Valuers).

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. MB. Deogratius Ndejembi amewatunuku Wathamini 34 vyeti vya Usajili Kamili ambapo Wathamini hao walihudhuria mafunzo yanayotolewa na Bodi kila mwaka ili kuwawezesha na kuwajengea uwezo wa kitaaluma Wathamini. Aidha, wathamini waliotunukiwa vyeti ni wale waliosoma na kufanya mitihani ya Bodi na kukidhi vigezo vya Bodi. Wathamini hawa wamepata vyeti vya juu vinavyotolewa na Bodi ambapo vitawawna Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wakiiomba Bodi iendelee kutoa mafunzo hayo ili kukuza taaluma ya Uthamini nchini.

Pia, kaezesha kujiajiri, kumiliki mihuri na kampuni binafsi ili kuendelea kukuza uchumi binafsi na wa taifa kiujumla pamoja na kukuza taaluma ya Uthamini nchini. Wahitimu wamepokea vyeti hivyo kwa furaha na wameipongeza Bodi pamoja tika tukio hilo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amefungua rasmi mkutano mkuu wa tano wa Wathamini na kuwasihi Wathamini waendelee kufanya kazi kwa uweledi na kujadilianda kwa kina na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoikumba taaluma hiyo wakizingatia ukuaji wa Teknolojia na Uvumbuzi pia ameahidi ushirikiano katika kukuza taaluma ya Uthamini. Mkutano huu mkuu umefanyika tarehe 04 Disemba, 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Vizano Hotel jijini Dodoma.