BODI YA USAJILI WA WATHAMINI YASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE

Imewekwa: 05 August, 2025
BODI YA USAJILI WA WATHAMINI YASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE

Bodi ya Usajili wa Wathamini yashiriki maonyesho ya nanenane ambapo imetoa huduma kwa wathamini na wananchi waliofika katika banda letu ambapo wananchi wamefanyikiwa kuona huduma na kazi zinazofanya na Bodi, ambapo pia wananchi walifanyikiwa kuuliza maswali na kuoa maoni yao ili kukuza utendaji kazi wa Bodi ya Usajili wa Wathamini. Maonyesho hayo yanayoendelea katika viwanja vya Nanenane -  Nzuguni jijini Dodoma.

Banda la Bodi lipo ndani ya banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Settings