Ili kampuni iweze kusajiliwa ni lazima iwe na sifa zifuatazo:

  • Iwe imesajiliwa na inatambulika chini ya Sheria ya Makampuni (Sura 212) au sheria ya Usajili wa Biashara (Sura 213): na
  • Iwe na angalau wakurugenzi wawili ambao wamesajiliwa na Bodi kwa kiwango cha Usajili wa Kamili