Mthamini anayeorodheshwa katika kundi hili ni lazima awe na:

  • Mwenye diploma au cheti katika usimamizi wa milki na kubobea katika uthamini kutoka chuo kinachotambulika; na
  • Amezingatia masharti mengine yoyote kadri Bodi itakavyoelekeza